πMtwara
π️ Novemba 22, 2023.
Picha πΈ
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM *Ndg. Faki Raphael Lulandala (MNEC)* ametembelea Soko la Mchinga _ Mkanaledi Lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara kusikiliza kero na changamoto za Machinga.
Aidha amekagua ofisi mpya za Soko la Machinga zinazojengwa na Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara.
Pamoja na mambo mengine Katibu Mkuu ameelekeza Umoja wa Vijana wa CCM nchi nzima kupitia Mkoa wa Mtwara kuhakikisha wanarejea kwa makundi ya vijana kurudisha majibu ya kero walizochukuwa kutoka kwa vijana.
#KaziIendelee
#UVCCMKazini
#KulindaNaKujengaUjamaa
#SisiNaMamaMleziWaWana
Imetolewa na;
*Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa*
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments: